Jinsi ya kupika Prawns za nazi na Tumeric Rice
Автор: Cooking Loko
Загружено: 2026-02-25
Просмотров: 164
Описание:
JINSI YA KUPIKA PRAWNS ZA NAZI NA TURMERIC RICE | Easy & Delicious Recipe
Katika video hii nitakuonyesha step-by-step jinsi ya kupika Prawns za Nazi zenye creamy coconut sauce pamoja na Turmeric Rice ya rangi ya golden na harufu nzuri sana.
This recipe ni rahisi kufuata, ingredients zinapatikana kirahisi, na matokeo yake ni restaurant-quality meal ambayo unaweza kuandaa nyumbani.
🔪 Utajifunza:
How to clean and prepare prawns properly
Siri ya kupata nazi sauce iliyo thick na full of flavor
Jinsi ya kupika turmeric rice isiyogandana
Simple plating tips kufanya sahani ionekane professional
Ni perfect kwa family dinner, special occasions, au hata kama unapenda kujaribu new recipes jikoni.
Don’t forget to like, comment na subscribe ili usikose videos zingine za mapishi matamu zaidi.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: