Perfect Chinese Steak Every Time
Автор: Cooking Loko
Загружено: 2026-03-14
Просмотров: 61
Описание:
Chinese Steak with White Rice | Simple Recipe
Leo tunakuonyesha jinsi ya kupika Chinese style steak yenye ladha kali pamoja na white rice laini kabisa. Hii ni recipe rahisi sana ambayo unaweza kupika nyumbani bila stress lakini ikatoka kama ya restaurant.
Katika video hii utaona step by step jinsi ya kuandaa beef steak yenye sauce tamu ya Chinese style, kisha kuiserv pamoja na wali mweupe uliopikwa vizuri. Ni chakula perfect kwa lunch au dinner kama unataka kitu simple lakini chenye ladha kali.
Ukifuata hizi steps vizuri utapata steak laini, juicy na full of flavour ambayo inaenda vizuri sana na wali.
Kwenye video utaona:
Jinsi ya kuandaa beef steak vizuri
Secret ya kupata sauce tamu ya Chinese style
Jinsi ya kupika steak isiwe ngumu
Namna ya ku-plate chakula kiwe kinaonekana professional
Kama unapenda easy recipes na cooking tips, usisahau Like, Subscribe na kuwasha Notification Bell ili usikose video nyingine.
Ingredients zilizotumika:
Beef steak
Garlic (kitunguu saumu)
Soy sauce
Pilipili hoho
Mahindi kidogo (optional)
Cooking oil
Viungo mbalimbali
White rice (wali)
Timestamps
0:00 Intro
0:20 Kuandaa ingredients
1:30 Kupika steak
4:00 Kutengeneza sauce
6:00 Final plating
#ChineseSteak #CookingTanzania #EasyRecipe #HomeCooking #WhiteRice
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: