Tundu Lissu: Sijaomba na sitokuja kuomba huruma ya mahakama nataka haki itendeke.
Автор: HABARI PLUS TV
Загружено: 2025-07-15
Просмотров: 96
Описание:
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Antipas Lissu, amesema haombi huruma ya Mahakama, bali anataka taratibu za kimahakama zifuatwe ipasavyo kwa mujibu wa Katiba.
Akiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es salaam, leo Julai 15, 2025 Lissu amelalamikia kile alichokiita uchezeaji wa utaratibu wa kesi unaofanywa na Mawakili wa Serikali na Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP).
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: