Hakimu kesi ya Lissu atoa sababu za kutomuachia na kuhahirisha kesi
Автор: HABARI PLUS TV
Загружено: 2025-07-15
Просмотров: 13
Описание: Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Antipas Lissu imetajwa leo mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi, Franko Kiswaga ambaye ameahirisha kesi hiyo hadi Julai 30, 2025 kwa ajili ya kutajwa huku akiutaka Upande wa Serikali kuharikisha maombi yao waliyoyapeleka Mahakama Kuu kuhusu ulinzi kwa baadhi ya mashahidi wao.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: