UTAJIRI ULIOJIFICHA KWA KUKU JAMII YA KUCHI
Автор: Amina Mollel
Загружено: 2024-09-18
Просмотров: 32580
Описание: inawezekana usiamini lakini ndio ukweli kuwa Kuku jamii ya Kuchi ni kuku wanaoweza kubadilisha maisha yako kwa muda mfupi. Fahamu mengi zaidi kutoka kwa Ndugu YOHANA JOSEPH YINDI, msomi kutoka chuo kikuu cha Dodoma aliyehitimu Shahada ya Ualimu mwaka 2017, na kuamua kujiajiri katika ujasiriamali akifuga Kuchi. Namba zake ni 0742 974246.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: