#TAZAMA
Автор: Daily News Digital
Загружено: 2023-02-26
Просмотров: 625
Описание:
Mbunge wa Jimbo la Rorya Jafari Chege amefika katika soko kuu la obwere katika mji wa shirati wilaya ya Rorya na kuongea na wafanyabiashara wa soko hilo pamoja na ukanguzi wa eneo ambalo ujenzi wa soko utafanyika.
pia amehaidi ujenzi wa barabara ya lami kutoka utegi mpaka shirati,kirongwe border na sota bandarini utakamilika kabla ya mwaka 2025 ili kuweza kuimarisha uchumi katika wilaya ya Rorya
Naye Diwani wa kata ya mkoma Musa sonde anatoa ahadi ya kuwatendea wema kina mama, vijana na wazee.
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig...
SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid...
TWITTER;
Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: