🔴 LIVE: WAZIRI KAIRUKI ANAZUNGUMZA NA WANAHABARI MUDA HUU
Автор: Daily News Digital
Загружено: 2026-02-04
Просмотров: 154
Описание: Utoaji wa Taarifa kwa Umma kuhusu Utekelezaji wa Ahadi za Rais Dk. Samia Suluhu Hassan na Mafanikio ndani ya siku 100 za Serikali ya awamu ya sita (Muhula wa pili) leo ni zamu ya Angela Kairuki Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari ataongea na Wanahabari Kwenye Ofisi za Wizara ya Habari Utamaduni na Michezo kwenye mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: