ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Familia moja katika kijiji cha Kusumek eneobunge la Bureti inataka uchunguzi wa mauwaji ya mtoto wao

Автор: Citizen TV Kenya

Загружено: 2026-02-12

Просмотров: 244

Описание: Familia moja katika kijiji cha Kusumek eneobunge la Bureti inadai haki kufuatia kifo cha mwana wao katika mazingira yasiyoeleweka.
Kwa mujibu wa waliokuwa wakiishi naye, Brian alipokea simu majira ya saa tisa asubuhi ya kuamkia Jumanne, na kisha akaondoka nyumbani na hakurejea tena. Baadaye, mwili wake ulipatikana kando ya barabara. Familia hiyo imepinga ripoti ya polisi iliyoeleza kuwa Brian alifariki kutokana na ajali. Polisi wanasema aligongwa na gari lililokuwa likienda kwa kasi , ilhali familia inasema kuwa majeraha aliyokuwa nayo kwenye mwili wake yanaonyesha kuwa aliuawa. Simu ya marehemu ambayo ilikuwa imepotea lakini baadaye kupatikana, huku polisi wakisema uchunguzi kuhusu kilichotokea bado unaendelea. Brian alikuwa mwanafunzi wa mwaka wa mwisho wa taasisi ya kiufundi ya Belgut .

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Familia moja katika kijiji cha Kusumek eneobunge la Bureti inataka uchunguzi wa mauwaji ya mtoto wao

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

Viongozi wa ODM sasa wanamlaumu Rais mstaafu Uhuru Kenyatta kwa kuingilia chama cha ODM

‘’Kifo cha Raila Odinga haikua cha kawaida, waliomuua wako kule nje,’’ Gavana Orengo asema

ВСУ выведут с Донбасса? Рубио и Зеленский. Гераскевич и Олимпиада-2026 | УТРО

Wakulima Moranga wanakadiria hasara kubwa sokoni kufuatia wingi wa maembe nchini

Sifuna amlaumu Rais William Ruto kwa masaibu yake

Shajara na Lulu | Kelsi Wanjiru Kiringi ana Kimo kifupi

Жапаров избавился от генерала Ташиева? В Кыргызстане грядет революция?

Kinara wa chama cha Wiper Kalonzo Musyoka ataka ukame utangazwe janga la kitaifa

Կերե'ք. Փաշինյանի կոշտ պատասխանը ընդդիմադիրներին

ATLÉTI SHOW! CZTERY DO PRZERWY, ZAGUBIONA BARCA PYTA KTÓRĘDY DO SZATNI! TO PARTIDO MIAŁO WSZYSTKO

Wakazi wa mtaa wa Umoja 2 Nairobi wanahofia mlipuko wa magonjwa Juu ya maji taka

Serikali inalenga kutoa shilingi Bilioni 21 kufathili ujenzi wa nyumba za bei nafuu Kilifi

Жить здорово в США: как Малышева заработала на треш-шоу? | Портреты

| TONIGHT | FEBRUARY 12TH 2026

| TONIGHT | FEBRUARY 12TH 2026

Wafanyibiashara walalamika Kisii juu ya kufungiwa biashara zao kwa kutolipa pesa za leseni

OBURU REGRETS AS ODM BECOMES OMENA DEMOCRATIC PARTY MOMENTS AFTER SIFUNA EXIT!

⚡️НОВОСТИ | ЖЕСТКИЙ УДАР ПО РОССИИ. ВИДЕО | ЭВАКУАЦИЯ В РЕГИОНАХ РФ | МАССОВЫЕ БЛОКИРОВКИ | ВЗРЫВЫ

Санду ЗАПУСТИЛА деоккупацию! Приднестровье ВОЗВРАЩАЕТСЯ домой. Крах

Санду ЗАПУСТИЛА деоккупацию! Приднестровье ВОЗВРАЩАЕТСЯ домой. Крах "русского мира" во всей красе

Лукашенко одобрил казни / Глава МИД покидает столицу / РФ подаёт в суд на президента? / BYстро.NEWS

Shajara na Lulu | Simulizi ya pandashuka za uanahabari | Part 2

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]