SERIKALI KAGERA YAKEMEA UTOROSHAJI WA ZAO LA KAHAWA NJE YA NCHI
Автор: TV1 DIGITAL TZ
Загружено: 2025-05-08
Просмотров: 151
Описание:
Mkuu Wa Mkoa wa kagera Hajath Fatma Mwassa amekemea vitendo vya utorshaji wa zao la kahawa unaofanywa na watu wasio waaminifu na kupelekea zao hilo nchi jirani hatua ambayo imekuwa ikisababaisha serikali kukosa mapato.
Akizungumza na Wadau wa Kahawa Katika Mkutano Mkuu uliofanyika Katika ukumbi wa Elct Bukoba Mkuu wa mkoa wa kagera Amesema Kuwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeongeza thamani ya zao la kawaha kwa wakulima wa mkoa wa kagera Ambapo amesema kuwa kipindi cha Mwaka 2024 bei ya Zao La kahawa ilipanda kutoka shilingi Elfu moja na Mia Mbili Mpaka Shilingi Elfu Tano.
Amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita Chini ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassani Imeongeza thamani ya Zao La Kahawa kwa wananchi wa Mkoa Wa Kagera nakuwataka Wananchi Mkoani Humo Kuongeza mashamba mapya ya Zao la Kahawa.
Aidha Mkuu huyo wa Mkoa amewataka ka wakulima wa zao hilo Mkoani kagera Kuongeza mashamba mapya ya zao llo Ili wakulima waweze Kupata Pesa zaidi na hii ni kutokana na serikali kuongeza thamani ya zao hilo.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: