SEHEMU YA HOTUBA YA RC MTANDA – UFUNGUZI WA MADUKA 5 MAPYA YA AIRTEL MWALONI, ILEMELA
Автор: Fad Media Fanzania
Загружено: 2026-02-20
Просмотров: 3
Описание:
Karibu tena kwenye channel yako pendwa! Leo tupo Mwaloni, Wilaya ya Ilemela, ambapo Mkuu wa Mkoa, RC Mtanda, ameshiriki katika hafla ya ufunguzi wa maduka matano mapya ya kutoa huduma za mtandao wa Airtel.
Katika hotuba yake, RC Mtanda ametoa ujumbe mzito kuhusu maendeleo ya mawasiliano na umuhimu wa sekta binafsi kushirikiana na Serikali katika kukuza uchumi wa wananchi.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: