Kaunti ya Bungoma yamulikwa kwa kukosa kulipa bili za shilingi bilioni 4.6
Автор: KBC Channel 1
Загружено: 2026-02-02
Просмотров: 63
Описание:
Serikali ya kaunti ya Bungoma inamulikwa kwa kushindwa kuwasilisha makato ya kisheria na kulipa posho na pensheni kwa wafanyakazi.Gavana wa kaunti ya Bungoma Kenneth Lusaka alikabiliwa na wakati mgumu kuwashawishi Maseneta kwa nini wafanyakazi wa kaunti waliohudumu chini ya mtangulizi wake hawakupokea pesa zao miaka mitatu baadaye.Kamati ya hesabu za umma ya bunge la Seneti pia iliwasihi wasimamizi wa kaunti kuweka kipaumbele malipo ya bili zinazosubiri kulipwa ambazo zinafikia shilingi bilioni 2.6.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: / kbcchannel1tv
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: