Maraga aibua wasiwasi kwa kukithiri kwa ufisadi na matumizi mabaya ya rasilimali za umma
Автор: KBC Channel 1
Загружено: 2026-02-02
Просмотров: 101
Описание:
Aliyekuwa jaji mkuu David Maraga ametoa wito kwa vijana kuhakikisha wanapata vitambulisho vya kitaifa na kujisajili kuwa wapigaji kura ili kuwajibika uongozi wa taifa hili kabla ya uchaguzi mkuu ujao. Maraga, mwaniaji wa wadhifa wa urais kupitia chama cha United Green Movement (UGM), ambaye alikuwa katika kaunti ya Mombasa, aliibua wasiwasi kwa kile alichokitaja kuwa kukithiri kwa visa vya ufisadi na matumizi mabaya ya rasilimali za umma , akionya kuwa, kukosa kushughulikiwa kwa changamoto hizo, kunaweza kuaathiri ustawi wa taifa.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: / kbcchannel1tv
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: