THE 4TH AUTISM AWARENESS FUNDRAISING GALA DINNER
Автор: Lukiza Autism Foundation
Загружено: 2026-01-31
Просмотров: 94
Описание:
Msimu wa Nne wa Hafla ya Chakula cha Usiku ya Autism Awareness Charity Gala Dinner katika Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam, Tanzania
Malengo
• Kusherehekea Miaka Mitano ya Lukiza Autism Foundation
• Kutoa tuzo za Heshima za Lukiza Autism Foundation Autism Advocate Awards 2025
• Kuchangisha fedha kwa ajili ya kuendeleza utekelezaji wa mradi wa USTAWI KWA KILA MTOTO - Viashiria vya Usonji
• Kusherehekea Wazazi wa watoto wenye Usonji na Watu wenye Usonji.
• Kukutanisha wadau wa Usonji kupitia chakula cha jioni.
• Kuzindua rasmi mbio za Run 4 Autism Tanzania Half Marathon 2026
NUNUA tiketi yako kupitia:
🔗 www.autismgaladinner.co.tz
📞 Piga/WhatsApp: 0783 639 335
📧 Barua Pepe: [email protected]
Kuchangia Chochote:
💳 Selcom Lipa Namba: 61051892 (Lukiza Autism Foundation)
🏦 KCB Bank Tanzania Limited | A/C: 3390658793
🏦 CRDB Bank | A/C Name: LUKIZA AUTISM FOUNDATION | No: 0150001K4CW00
💰 Mpesa: 5069292 – Lukiza Autism Foundation
📞 Call: 0783 639 335
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: