BITEKO AAGIZA KUKAMATWA VIONGOZI WA KAMPUNI YA UCHIMBAJI MADINI HANDENI
Автор: Mwananchi Digital
Загружено: 2018-08-08
Просмотров: 2010
Описание:
Naibu Waziri wa Madini Doto Biteko ameagiza kukamatwa haraka viongozi wa kampuni ya Tanzania Gold Fields inayohusika kuchimba madini katika mgodi wa Magambazi wilayani Handeni mkoani Tanga,
Biteko ametoa agizo hilo Agosti 7 alipofanya ziara kwenye mgodi huo akiwa na kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya ya Handeni na kuagiza kusitishwa kwa shughuli zote zinazofanyika katika mgodi wa Magambazi.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: