Waliokwama Somanga waanza kupata afuaeni ya safari
Автор: UTV Tanzania
Загружено: 2024-03-25
Просмотров: 10428
Описание:
Hatimaye mamia ya abiria waliokuwa wamekwama katika eneo la Somanga wilayani Kilwa mkoani Lindi kwa zaidi ya saa 10 kutokana na daraja kukatika wameanza safari kwa kuvuka gari moja moja baada ya Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) kutengeneza njia mbadala ya dharura.
Mwandishi: Muhammad Nyaulingo
Mhariri:@official_jennifersumi
#usafiri #daraja #abiria #magar #lindi #tanroad #miundombinu
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: