VIJANA WA PANGA BOYS KUTOKA DIANI KAUNTI YA KWALE WAJISALIMISHA KWA POLISI
Автор: Al Shifaa Television Kenya
Загружено: 2026-01-17
Просмотров: 427
Описание:
Vijana wa genge la PANGA BOYS katika eneo la Diani kaunti ya Kwale wanejisalimisha kwenye kituo Cha polisi Cha msambweni. Hii ni baada ya kuwahangaisha wakaazi wa eneo hilo Kwa muda mrefu. Vijana hao wamekiri kubadilisha tabia za kihuni na kufuata mwendo wa usawa. Vijana hao wametumia fursa hiyo kuwaomba wakaazi msamaha Kwa kuwahangaisha.
Kamanda wa Polisi wa kaunti ndogo ya Msambweni Robinson Lang'at amewahakikishia wakaazi usalama na kuendeleza operesheni ili genge za wahalifu zizidi kujisalimisha.
#nairobitrendingnews #news #reels #coast #malindi #trending #mombasa #kilifi
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: