Gospel Vessel - Mwaokozi Umeokoa (Precious saviour) | Tenzi za Rohini | swahili worship
Автор: Gospel vessel
Загружено: 2026-02-22
Просмотров: 60
Описание:
🎶 MWAKOZI UMEOKOA | TENZI ZA ROHONI 🎶
Karibu na uwe barikiwa kwa tenzi ya rohoni “Mwakozi Umeokoa”, wimbo unaotukumbusha upendo, neema na wokovu tulioupata kupitia Yesu Kristo. Tenzi hii ni wimbo wa shukrani, toba na ibada ya kweli inayogusa moyo na kuimarisha imani.
Tenzi za rohoni zimekuwa nguzo muhimu katika ibada na maisha ya Kikristo, zikitufundisha Neno la Mungu kwa unyenyekevu na kina. Lengo la channel hii ni kufufua na kusambaza tenzi hizi ili kizazi cha sasa na kijacho kibaki katika msingi wa imani.
📖 Unaweza ku-request wimbo wowote wa Tenzi za Rohoni
Nitauimba moja kwa moja kutoka kitabu cha Tenzi za Rohoni kwa ajili ya baraka yako na ya wengine.
📲 Tuma request yako kupitia WhatsApp:
👉 0679 756 935
🔔 Subscribe ili usikose tenzi mpya
👍 Like kama umebarikiwa
💬 Comment ushuhuda wako au request yako
📤 Share ili wengine nao wabarikiwe
Mungu akubariki sana kwa kusikiliza na kuunga mkono huduma hii. 🙏🎵
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: