Gospel Vessel - Hata Ndimi Elfu Elfu | Tenzai za Rohoni no 3 | (Lyrics)
Автор: Gospel vessel
Загружено: 2026-02-24
Просмотров: 146
Описание:
#tenzizarohoni #nyimbozainjii #gospeltanzania #nyimbozakusifu #WORHIPSWAHILI
WIMBO MPYA | Hata Ndimi Elfu Elfu 🙏
Karibu usikilize wimbo mpya wa injili unaoitwa “Hata Ndimi Elfu Elfu” — wimbo wa kumsifu, kumtukuza na kumshukuru Mungu kwa sauti na kwa matendo.
Ni wimbo unaokukumbusha kuwa hata tukipewa ndimi elfu elfu, bado sifa zote zimstahili Mungu wetu 🙌
🎶 Wimbo huu umetokana na Tenzi za Rohoni, ukiwa na ujumbe wa unyenyekevu, shukrani na ibada ya kweli.
Tunakukaribisha ubarikiwe, ushiriki kwa wengine, na kuacha maoni yako hapa chini.
📩 Maombi ya Nyimbo (Song Requests)
Je, kuna wimbo wowote kutoka katika kitabu cha Tenzi za Rohoni ungependa tuuimbe?
Tuma ombi lako moja kwa moja kupitia WhatsApp: 0679 756 935
👉 Usisahau Subscribe, Like, na Share ili Injili iwafikie wengi zaidi.
Mungu akubariki sana 🤍
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: