Tangazo la kuitisha maandiko kwa ajili ya kuomba ruzuku la mwaka 2022
Автор: Mfuko wa Misitu
Загружено: 2022-01-03
Просмотров: 171
Описание: Mfuko wa Misitu Tanzania unashirikisha wadau katika kutekeleza majukumu yake ambapo utoaji wa ruzuku ni njia mojawapo ya ushirikishwaji. Kupitia tangazo hili, wadau wote wenye sifa wanaalikwa kuwasilisha maandiko kwa ajili ya kuomba ruzuku. Aidha, kwa mwaka 2022, kutakuwa na dirisha moja tu la kupokea maandiko kwa ajili ya kuomba ruzuku ndogo, ruzuku ya kati na ruzuku kubwa, ambapo mwisho wa kupokea maandiko ya miradi ni tarehe 31 Machi, 2022.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: