HALI YA HEWA YACHAFUKA BUNGENI "TUSIJE TUKAJIONA SISI NI WAMAANA SANA KULIKO WENGINE".
Автор: Knews24
Загружено: 2023-04-07
Просмотров: 1162
Описание:
#knews24 Wabunge wa bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania,wamekemea vikali maswala ya ndoa ya jinsia moja yasijitokeze na yasikubalike katika jamii na ameitaka Serikali kupitia wizara ya Maendeleo ya jamii kuliasimamia swala hilo.
Hoja hiyo imechangiwa na mbunge wa jimbo la Iringa mjini, Jesca Mtambandavangu, wakati wa kikao cha bunge la bajeti la 2023/2024 likiendelea, kama anavyoeleza hapo.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: