WIZI NI ADUI WA MAFANIKIO YAKO! 2/4
Автор: WanawakeLive Tv
Загружено: 2026-03-06
Просмотров: 99
Описание:
WIZI NI ADUI WA MAFANIKIO YAKO! 2/4
Uaminifu ndio sarafu ya kwanza ya biashara yoyote.’ Dada unayeiba kazini, hujui kuwa unaharibu ‘Brand’ yako mwenyewe.
Soko la ajira halilipi watu wasioaminika, hata wawe na uzoefu kiasi gani.
Unapochukua kitu kisichochako:
Unaua uaminifu wa mabosi kwa wadada wengine (Unaharibia wenzako fursa).
Unajiondoa kwenye mfumo wa ‘Baraka’ na ‘Kupandishwa Cheo’.
Unatengeneza ‘Identity’ ya kiuhalifu badala ya ‘Identity’ ya kiongozi.
Ukitaka kuwa CEO wa maisha yako, anza kwa kuwa mwaminifu kwa kidogo unachokisimamia sasa.
Huwezi kupewa kumiliki vyako kama huwezi kutunza vya wenzako (Luka 16:12). Tunakemea tabia hii kwa nguvu zote!
#UnatakaKulipwaZaidi
#IntegrityAtWork #Dira2050 #Professionalism #MaendeleoNiMimi”
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: