Na tuliwafundisha wadada wa kazi kuwa kazi yao ni Utumishi kwa Mungu (Kol
Автор: WanawakeLive Tv
Загружено: 2026-03-04
Просмотров: 142
Описание:
Kama CEO niliyeanzia maisha kama dada wa kazi, na sasa mwanafunzi wa Theolojia, najua siri moja: Mtoto hafundishwi hofu ya Mungu kwa maneno, bali kwa mazingira anayoishi.
Katika workshop hii, tuliwafundisha mabosi kuwa dada wa kazi ni ‘Mshika Dhamana’ wa baraka za Mungu (watoto).
Na tuliwafundisha wadada wa kazi kuwa kazi yao ni Utumishi kwa Mungu (Kol 3:23).
Hofu ya Mungu inapoingia kati ya bosi na mfanyakazi, upendo unatawala, na mtoto anakuwa katika mikono salama.
Huwezi kumpa mtoto unachokikosa moyoni mwako. Kama huna hofu ya Mungu, huwezi kuipanda kwa mtoto.
Karibu katika Training zetu za online kupitia ZOOM tuwaandae vyema wasaidizi wetu ambao ni nguzo imara katika familia zetu 0783137777
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: