CHAKULA BORA kwa Kuku CHOTARA | Formula Kamili ya KUROILER, SASSO na TANBRO!
Автор: Ben Kukufarm
Загружено: 2024-12-02
Просмотров: 8383
Описание:
Karibu kwenye video ya Ben KukuFarm Channel! Leo tunakufundisha jinsi ya kutengeneza chakula bora kwa kuku chotara Kuroiler, Sasso, Tanbro, na Malawi.
Kupitia video hii utajifunza:
✅ Marighafi muhimu zinazotumika
✅ Uwiano sahihi wa formula ya chakula kwa wiki 0 hadi wanapo zeeka
✅ Vidokezo vya kutunza chakula ili kiwe salama kwa kuku
✅ Faida za kutumia chakula ulichotengeneza mwenyewe
➡️ Hii ni fursa ya kupunguza gharama za ufugaji na kukuza faida yako!
hii hapa formula ya utengenezaji wa chakula Cha kuku wa kienyeji
👇👇👇
🔔 Usisahau kugonga kitufe cha Subscribe na kuwasha kengele ili usikose video mpya kila wiki.
💬 Acha comment yako, au uliza swali lolote — nitajibu wote!
#KukuFarm
#ChakulaChaKuku
#UfugajiWaKuku
#KukuChotara
#Sasso
#Kuroiler
#Tanbro
#MalawiChicken
#UfugajiWaKisasa
#Agribusiness
#PoultryFarming
#KilimoBiashara
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: