USIKU WA KUBADILISHA MATOKEO | 9 JANUARI 2026
Автор: Minister Mocky
Загружено: 2026-01-09
Просмотров: 4416
Описание:
BWANA YESU asifiwe, karibu na akhsante kwa kujumuika nasi kwenye kipindi cha USIKU WA KUBADILISHA MATOKEO "MADHABAHU YA EBENEZA". Ni kipindi maalum cha neno, maombi na matamko maalum ya kukupa matokeo makubwa kwenye kila eneo la maisha yako. Kipindi hiki kinakujia leo Ijumaa ya tarehe 9 Januari 2026 mubashara kutoka Heart of Worship Ministry HQ Mbezi Beach Dar Es Salaam.
Kipindi hiki kinaongozwa na MINISTER MOCKY.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: