Soko la ajira halilipi kwa sababu unafanya kazi kwa bidii, soko linakulipa kulingana na THAMANI
Автор: WanawakeLive Tv
Загружено: 2026-03-03
Просмотров: 108
Описание:
Soko la ajira halilipi kwa sababu unafanya kazi kwa bidii, soko linakulipa kulingana na THAMANI unayoleta mezani.
Leo niko na nguzo za familia zetu tukiichambua mbinu ya ‘Unataka Kulipwa Zaidi?’.
Huwezi kupata mshahara mkubwa kwa kufanya mambo ya kawaida. Weledi ni mfumo, sio bahati!
#UnatakaKulipwaZaidi
#WadadaCenter
#Dira2050
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: