Mchakato ujenzi wa barabara Handeni hadi Singida urefu wa km 384 waanza
Автор: Azam TV
Загружено: 2023-08-17
Просмотров: 1514
Описание: Watumiaji wa barabara inayotoka katika Mji wa Handeni mkoani Tanga hadi Singida yenye urefu wa Km 384.33 wametaja kupata matumaini mapya baada ya kuanza kwa mchakato wa ujenzi wa barabara hiyo kwa kiwango cha lami.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: