Kuanzisha biashara ya umeme kwa mtaji mdogo | Milioni 3.5 tosha?
Автор: How to Start Business Channel
Загружено: 2025-07-26
Просмотров: 489
Описание:
Nimekuwa napata maswali mengi kutoka kwa wadau wakitaka kufahamu kiasi cha mtaji kinachotosha kuanzisha biashara ya vifaa vya umeme
Kutosha au kutotosha kwa mtaji wa kuanzisha biashara ya vifaa vya umeme hutegemea vigezo vya mtaji na mahitaji ya anayetaka kuanzisha biashara
Kipindi cha leo cha Dira ya Ujasiriamali nitaeleza jinsi mtaji wa milioni 3.5 unatosha kuanzisha biashara ya vifaa vya umeme
How to start business Channel tunatoa elimu ya kuanzisha na kuendeleza biashara, kwa vijana waliomaliza vyuo vikuu na wanataka kujiajiri.
Tunatoa elimu ya jinsi ya kuanzisha na kuendeleza biashara. Pia tunatoa elimu ya hesabu za biashara na uwekezaji katika biashara.
Tunafundisha misingi sahihi ya kuanzisha biashara.
Tuna eleza jinsi ya kutambua fursa za kuanzisha biashara.
Pia tunafundisha umuhimu wa kuchangua makundi ya wateja.
Tuna sisitiza umuhimu wa kuwasiliana na wateja mara kwa mara kufahamu changamoto zao na mhitaji yao.
Tunafundisha umuhimu wa kutengeneza hesabu za biashara. Hesabu za biashara husaidia kufahamu, kama biashara inapata faida au hasara.
How to Start Business Channel inatoa elimu ya ujasiriamali kupitia vitabu, videos, website, Online School na Online Television
1. Kupata eBooks za Ujasiriamali, wasiliana nasi kupitia Whatsapp 0716 682 439
2. Link ya Tan Business Online School: https://ali-mwambola-s-school.teachab...
3. Website yetu: www.tanbusiness.co.tz
4. Mitandao yetu ya kijamii:
Facebook: / tanbusiness
Instagram: / tanbusiness
YouTube: / alimwambola
#jifunzeujasiriamali #vitabuvyaujasiriamali #alimwambola #tuongeebiashara #ujifunzeujasiriamali #mizungukoyaujasiriamali
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: