Hizi Biashara 3 Zinafanya Kazi! Unapata Elfu 20 Kila Siku? Episode 3
Автор: How to Start Business Channel
Загружено: 2026-02-20
Просмотров: 473
Описание:
Vijana wengi hawaamini kuwa kuna uwezekano wa kuanzisha biashara kwa mtaji mdogo na kupata faida kubwa. Wanadhani kuwa kuanzisha biashara inabidi uwe na mataju wa mamilioni ya pesa. Hiyo si kweli. Video hii inaeleza jinsi biashara 3 za mtaji mdogo zinaweza kupata faida ya shs 20,000 kwa siku
Katika video hii utajifunza kwa hatua:
0.16 Utangulizi
1.23 Kujikumbusha videos za Jumatatu na Jumatano
3.13 Huduma za usafi majumbani na ofisini
7.06 Biashara ya maji ya chupa
9.58 WITO
10.52 Biashara ya mtandaoni na Freelancing
14.36 Mwisho
How to Start Business Channel ipo kwa ajili ya kutoa elimu ya kuanzisha biashara kwa vijana ambao wamemaliza masomo na wanataka kujiajiri. Msisitizo wa elimu uko kwenye mambo muhimu ya kutekeleza, kama unataka kujiajiri kwa kuanzisha biashara ambayo itakuwa endelevu.
Kupata eBooks, wasiliana nasi kupitia Whatsapp 0716 682 439
Link ya Tan Business Online School: https://ali-mwambola-s-school.teachab...
Website yetu: https://www.tanbusiness.co.tz
Mitandao yetu ya kijamii:
Facebook: / tanbusiness
Instagram: / tanbusiness
YouTube: / alimwambola
#howtostartbusiness #businessstartup #alimwambola #BiasharaTZ #YoungEntrepreneurs
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: