ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Walininywesha Sumu, Nilitaka Kujiuzulu...Magufuli asimulia, almanusura imtoe uhai wake

Автор: CHAMPION HABARI

Загружено: 2019-11-12

Просмотров: 300712

Описание: RAIS John Magufuli amesema utendaji wake wa kazi ambao ulimfanya Rais Benjamin Mkapa akiwa madarakani wakati huo amsifie hadharani, ulisababisha anyweshwe sumu na ilibaki kidogo apoteze maisha.

Ameyasema hayo Jumanne, Novemba 12, 2019, katika uzinduzi wa kitabu cha rais mstaafu Benjamin Mkapa kiitwacho cha ‘My Life, My Purpose’ (Maisha Yangu, Kusudio Langu) uliofanyika katika ukumbi wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.

“Nilipofanya kazi vizuri Mzee Mkapa hakusita kunisifia na sitosahau siku aliyotangaza kuwa mimi ni askari wake wa mwamvuli, baada ya kutangazwa hivyo nilichukiwa na viongozi wengine tena wa ngazi za juu hadi kufikia hatua ya kunyweshwa sumu Dodoma,” alisema.

“Nashukuru Mungu baada ya kunyweshwa sumu na kupona, nilienda kwa Mzee Mkapa na kumueleza azma yangu ya kujiuzulu, nakumbuka aliniangalia kwa jicho la baba na mwana akanipa ujasiri na kuniambia usijiuzulu, akanipa ulinzi na nikaendelea kuchapa kazi.

“Katika tukio hilo nilimuona Mzee Mkapa kama mtu anayekupa matumaini wakati wewe ukiwa umekata tamaa. Mzee Mkapa nakushukuru sana, nimejifunza kutowasifu wateule wangu hata kama wanafanya mazuri mengi, yasije yakawatokea yaliyonikuta mimi wakati uliponisifia,” amesisitiza Magufuli.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Walininywesha Sumu, Nilitaka Kujiuzulu...Magufuli asimulia, almanusura imtoe uhai wake

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

MKURUGENZI ATETEMEKA KWA UOGA

MKURUGENZI ATETEMEKA KWA UOGA "NAOMBA UNISAMEHE RAIS SITO RUDIA TENA ‘’

Mkapa aunguruma UDSM, akiri kukosea sera ya ubinafsishaji, agusia katiba mpya

Mkapa aunguruma UDSM, akiri kukosea sera ya ubinafsishaji, agusia katiba mpya

HOTUBA YA RAIS DKT MAGUFULI BAADA YA KUPOKEA TAARIFA YA UCHUNGUZI WA MCHANGA WA DHAHABU

HOTUBA YA RAIS DKT MAGUFULI BAADA YA KUPOKEA TAARIFA YA UCHUNGUZI WA MCHANGA WA DHAHABU

“Sijawahi kupewa vitu vya burebure ama vitu vya dezo kwa Kiswahili cha mjini - JPM

“Sijawahi kupewa vitu vya burebure ama vitu vya dezo kwa Kiswahili cha mjini - JPM

AMKA NA BBC SWAHILI LEO 25/12/2025 ALHAMISI ASUBUHI, BBC SWAHILI LEO

AMKA NA BBC SWAHILI LEO 25/12/2025 ALHAMISI ASUBUHI, BBC SWAHILI LEO

KUHUSU KIFO MANENO YA MWISHO YA RAIS MAGUFULI | MANENO MAZITO KWA KIJAZI

KUHUSU KIFO MANENO YA MWISHO YA RAIS MAGUFULI | MANENO MAZITO KWA KIJAZI

NYUMBANI KWA MWALIMU NYERERE, KABURI ALIPOZIKWA NA MAENEO MUHIMU ALIPOISHI KIPINDI CHA UHAI WAKE

NYUMBANI KWA MWALIMU NYERERE, KABURI ALIPOZIKWA NA MAENEO MUHIMU ALIPOISHI KIPINDI CHA UHAI WAKE

HOTUBA YA RAIS DKT.  JOHN POMBE MAGUFULI  ALIPOWAAPISHA VIONGOZI ALIOWATEUA - IKULU DSM

HOTUBA YA RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI ALIPOWAAPISHA VIONGOZI ALIOWATEUA - IKULU DSM

Matukio MATANO YALIYOTIKISA Mkutano wa JPM na WAFANYABIASHARA

Matukio MATANO YALIYOTIKISA Mkutano wa JPM na WAFANYABIASHARA

HISTORIA Ya KARUME, Rais Aliyezawadiwa  KIFO Kwa WEMA Wake!

HISTORIA Ya KARUME, Rais Aliyezawadiwa KIFO Kwa WEMA Wake!

Balozi Polepole Atoboa Siri ya Kifo cha Magufuli

Balozi Polepole Atoboa Siri ya Kifo cha Magufuli

RAIS MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSTUKIZA GEREZA LA UKONGA  mp4

RAIS MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSTUKIZA GEREZA LA UKONGA mp4

KUBWA HII MUME NA MKEWE WABISHANA MBELE YA MAGUFULI, MAMA AMWAGA MACHOZI

KUBWA HII MUME NA MKEWE WABISHANA MBELE YA MAGUFULI, MAMA AMWAGA MACHOZI "NANYANYASHWA"

MANENO MAZITO YA RAIS KIKWETE KWENYE MAZISHI YA HAYATI MAGUFULI CHATO

MANENO MAZITO YA RAIS KIKWETE KWENYE MAZISHI YA HAYATI MAGUFULI CHATO

RAIS MAGUFULI ASHINDWA KUJIZUIA AMWAGA MACHOZI AKIELEZEA MANENO YA MWISHO YA MKAPA

RAIS MAGUFULI ASHINDWA KUJIZUIA AMWAGA MACHOZI AKIELEZEA MANENO YA MWISHO YA MKAPA

MAMBO YALIYOMCHEFUA MAGUFULI KUPITA KIASI LEO NI HAYA..

MAMBO YALIYOMCHEFUA MAGUFULI KUPITA KIASI LEO NI HAYA..

BASHE akimbizwa na Raisi MAGUFULI mbele ya wananchi wake Nzega ombi lake lakataliwa.

BASHE akimbizwa na Raisi MAGUFULI mbele ya wananchi wake Nzega ombi lake lakataliwa.

'KUANZIA LEO WEWE SI KAMANDA TENA'FURIOUS PRESIDENT MAGUFULI FIRES LAZY WORKER ON SPOT!

'KUANZIA LEO WEWE SI KAMANDA TENA'FURIOUS PRESIDENT MAGUFULI FIRES LAZY WORKER ON SPOT!

Hotuba ya uzinduzi wa Bunge la 11 dodoma Nov 20,2015

Hotuba ya uzinduzi wa Bunge la 11 dodoma Nov 20,2015

MAGUFULI AMEONDOKA, JE, TUONDOKE NAYE? - MAGULIFICATION OF AFRICA, KIBOKO YA CHANGAMOTO ZOTE...

MAGUFULI AMEONDOKA, JE, TUONDOKE NAYE? - MAGULIFICATION OF AFRICA, KIBOKO YA CHANGAMOTO ZOTE...

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]