MKURUGENZI ATETEMEKA KWA UOGA "NAOMBA UNISAMEHE RAIS SITO RUDIA TENA ‘’
Автор: CHAMPION HABARI
Загружено: 2020-06-29
Просмотров: 80061
Описание:
ASAJILE Mwambambale, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa Mkoa wa Morogoro (DED), amemuomba radhi mara tatu, Rais John Magufuli, kwa kosa la kutotatua changamoto ya mgogoro wa ardhi wilayani humo.
Kufuatia malalamiko hayo, Mwambambale amemuomba radhi Rais Magufuli huku akimuahidi atajirekebisha kwani amekwisha kUtambua amejikwaa
“Rais ninaomba unisamehe, mheshimiwa rais ninaomba unisamehe, mheshimiwa rais ninaomba unisamehe,” amesema Mwambambale alipopewa fursa ya kuzungumza mbele ya Rais Magufuli na umati ya wananchi.
“Kuna kazi nyingine umenipa na nimefanya kwa mafanikio, kuna miradi ya maendeleo mbalimbali nimejenga. Najifunza naomba unisiamehe, naomba unipe nafasi ya pili sitokuangusha,” amesema Mwambambale kwa sauti ya unyongu
Subscribes: / kidanistars
HABARI MPYA DAILY:https://bit.ly/3c3bEDc
HABARI ZA MICHEZO: https://bit.ly/2TAgnWx
HABARIZA WASANII: https://bit.ly/2X2f84R
HABARI ZA SIASA: https://bit.ly/36r0xCW
Instagram: / kidanistars
Facebook: / kidanistars
Twitter: / kidanistars
Subscribes: / kidanistars
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: