Ninakukabidhi Yote, Ee Bwana/Maombi ya Tafakari ya Dakika 20
Автор: Asnath voice of Prayers
Загружено: 2026-02-15
Просмотров: 2
Описание:
Karibu katika maombi haya ya tafakari ya dakika 20.
Maombi haya yamekusudiwa kukusaidia kutulia,
kuachilia mizigo ya moyo, na kujikabidhi kikamilifu
kwa Mungu.
katika ulimwengu uliojaa kelele, hofu, na wasiwasi, chukua muda huu kukaa kimya mbele
za Bwana, kusikiliza sauti yake, na kupokea amani yake.
•Mada:Ninakabidhi Yote, Ee Bwana
•Muda:Dakika 20
•Inafaa kwa:
_Maombi ya asubuhi au usiku
-Wakati wa utulivu na tafakari
-Unapohisi kuchoka, kuwa na mawazo mengi, au kuhitaji amani ya moyoni
Kama maombi haya yamekubariki, tafadhali like, share, na subscribe ili kuendelea kupata maombi na tafakari zaidi
Mungu akubariki sana 🩷
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: