Maombi ya Utulivu wa Moyo | Tafakari ya Asubuhi
Автор: Asnath voice of Prayers
Загружено: 2026-01-28
Просмотров: 55
Описание:
Maombi ya Utulivu wa Moyo | Tafakari ya Asubuhi
Chukua dakika chache unyamaze mbele za Mungu. Maombi haya ya tafakari yamekusudiwa kukusaidia kuachilia hofu, mizigo, na mawazo mengi, ili moyo wako upate utulivu ndani ya uwepo wa Bwana.
Tulieni, mkajue ya kuwa Mimi ni Mungu - Zaburi 46:10 Sikiliza kwa utulivu, omba polepole, na ruhusu amani ya Mungu itawale moyo wako. 🩶
#MaombiYaUtulivu #Tafakari#AmaniYaMoyo#MaombiYaAsubuhi#TulieniMbeleZaBwana
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: