"SITAKUBALI KUSKIA MTU AMEAMBIWA GLOVES HAZIPO"MTAKA
Автор: NJOMBE TV
Загружено: 2025-02-04
Просмотров: 2254
Описание:
KAULI YA RC CHALAMILA YAMUIBUA RC MTAKA "ZITAKUBALI KUSKIA MTU AMEAMBIWA GLOVES HAZIPO"
News
Njombe
Mkuu wa mkoa wa Njombe Anthony Mtaka amepiga marufuku wataalamu wa afya mkoani humo kutoza fedha wala vifaa tiba kwa mama mjamzito kwa kuwa huduma ya mama na mtoto ni bure na kuwataka kufuata muongozo wa sera ya afya kwa usahihi.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: