Mahakama Yapiga Chini Mapingamizi Manne ya Lissu, Moja la Kubaliwa Yaamuru Kizimba Kirekebishwe
Автор: The Chanzo
Загружено: 2026-02-11
Просмотров: 357
Описание:
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, imeendelea leo Jumatano Februari 11, 2026, Mahakama imetoa uamuzi wa mapingamizi manne kati ya matano yaliyowekwa na mshtakiwa ambapo yote yamekatupiliwa mbali, huku moja limekubaliwa.
Mahakama imeamuru marekebisho ya kizimba kinachotumika kwa shahidi wa siri katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu. Hatua hii inalenga kuhakikisha ushahidi unapelekwa kwa uwazi mbele ya majaji, huku usalama wa shahidi ukiendelea kuheshimiwa. Usikilizwaji wa kesi hiyo unaendelea Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam.
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: https://www.tiktok.com/@thechanzo?is_...
Au tembelea tovuti yetu: https://www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo 2025 © All Rights Reserved.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: