Senegal kupokwa ubingwa: Ni uamuzi sahihi au doa kwa soka la Afrika?
Автор: DW Kiswahili
Загружено: 2026-03-18
Просмотров: 1362
Описание: Uamuzi wa Bodi ya Rufaa ya Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) wa kuivua Senegal taji la Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) la 2025 na kuipa Morocco umezua utata na mjadala mkubwa katika ulimwengu wa soka. Je uamuzi huo unaliweka wapi soka la Afrika? Tumewaalika wachambuzi wa soka Hassan mwana wa Ali, Nairobi. Amri Masare, Dar es Salaam, Tanzania na Omar Mutasa, Kampala Uganda. #dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: