ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA EVENING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING 10/02/2026

Автор: KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH

Загружено: 2026-02-11

Просмотров: 2895

Описание: KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA EVENING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING 10/02/2026

UJUMBE WA LEO:
MAMBO YATAKAYOKUWEZESHA KUTOKA NYUMBA YA UTUMWA MPAKA UTIMILIFU WA AHADI

Kutoka 20 : 1 - 2
Kutoka 3 : 7
Mwanzo 16 : 13

LENGO LA SOMO
1. Kuelewa Safari ya Ukombozi na namna udhihirisho wa mkono wa MUNGU kuingilia kati hali za watu wake waliopo kwenye nyumba ya utumwa.

2. Nafasi ya Agano la urithi na mauti kutoka kwenye madhara yake ili kunufaika kwa kutoka katika nyumba ya Utumwa.

3. Kujua dalili ya vita inayolenga kipawa chako, ili kubakia utumwani kama lengo la Adui kisitumike kukutoa Utumwani.

Kutoka 20 : 1 - 2
1 Mungu akanena maneno haya yote akasema,

2 Mimi ni Bwana, Mungu wako, niliyekutoa katika nchi ya Misri, katika nyumba ya utumwa.

Kutoka 3 : 7
7 Bwana akasema, Hakika nimeyaona mateso ya watu wangu walioko Misri, nami nimekisikia kilio chao kwa sababu ya wasimamizi wao; maana nayajua maumivu yao;

Mwanzo 16 : 13
13 Akaliita jina la Bwana aliyesema naye, Wewe U Mungu uonaye, kwani alisema, Hata hapa nimemwona yeye anionaye?

SAFARI YA UKOMBOZI INA HATUA TATU.

1. Mungu anaona utumwa.

2. Mungu anaingilia kwa mkono wake

3. Mungu anatimiza ahadi yake kwa wakati wake.

1. Mungu anatambua hali ya mateso na vifungo vya watu wake.

Kutoka 3 : 7

“Bwana akasema, Hakika nimeyaona mateso ya watu wangu walioko Misri…”

Hakuna mateso yaliyo fichika mbele za Mungu.

Hakuna kifungo kinachomshinda Mungu kukitambua.

Utumwa wako haupuuzwi wala kusahaulika.

Mungu anaona maumivu, dhuluma, machozi, na ukandamizaji.

Ni jina la Mungu katika Biblia lenye maana nzito sana kiroho.

El Roi maana yake ni;
“Mungu anayeona” au “Mungu anayeniona.”

Ni Mungu ambaye haoni kwa jumla tu, bali anamuona mtu binafsi, hali yake, maumivu yake, na kilio chake.

Mhubiri : Mwl.Renald Mlawi.

Kwa maombi na ushauri :
Mch. Kiongozi: Dr. Eliona Kimaro
Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053
Mch. Msaidizi: Anna Kuyonga
Simu: +255 713 553 443
YouTube: Kijitonyama Lutheran church
Barua Pepe : [email protected]

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA EVENING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING 10/02/2026

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA MORNING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING 10/02/2026

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA MORNING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING 10/02/2026

HATUPOTEI | REV. DR. ELIONA KIMARO

HATUPOTEI | REV. DR. ELIONA KIMARO

TEKINOLOJIA NA AFYA YA AKILI || DR. GABRIEL KWEKA

TEKINOLOJIA NA AFYA YA AKILI || DR. GABRIEL KWEKA

NYIMBO ZA KUMSHUKURU NA KUABUDU MUNGU 🙏 | Swahili Gospel Worship Mix | Saa 1 ya Sifa & Ibada

NYIMBO ZA KUMSHUKURU NA KUABUDU MUNGU 🙏 | Swahili Gospel Worship Mix | Saa 1 ya Sifa & Ibada

A -Z KUHUSU UTT-Amis | WATU HUPATA VIPI FAIDA KUPITIA VIPANDE?  Elimika Na Mwl. Emilian Busara C.P.A

A -Z KUHUSU UTT-Amis | WATU HUPATA VIPI FAIDA KUPITIA VIPANDE? Elimika Na Mwl. Emilian Busara C.P.A

SIKU 21 ZA REHEMA NA HURUMA ZA MUNGU  |  DAY 3  |  11.02.2026

SIKU 21 ZA REHEMA NA HURUMA ZA MUNGU | DAY 3 | 11.02.2026

SEMINA YA KUPANDA NA KUVUNA 2026 DSM  l Diamond Jubilee l Mwl. Christopher Mwakasege

SEMINA YA KUPANDA NA KUVUNA 2026 DSM l Diamond Jubilee l Mwl. Christopher Mwakasege

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA EVENING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING 09/02/2026

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA EVENING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING 09/02/2026

Deep Swahili Worship Mix Vol 2 (2026)- 3Hours -Wewe Ni Sababu Ya Maisha Yetu/Jehova Wewe Ni Jehova..

Deep Swahili Worship Mix Vol 2 (2026)- 3Hours -Wewe Ni Sababu Ya Maisha Yetu/Jehova Wewe Ni Jehova..

1B.NAMNA YA KUPATA UHURU WA KIFEDHA [ FINANCIAL FREEDOM ] KIBIBLIA // MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE:

1B.NAMNA YA KUPATA UHURU WA KIFEDHA [ FINANCIAL FREEDOM ] KIBIBLIA // MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE:

PUNGUZA KELELE/ REV. DR. ELIONA KIMARO

PUNGUZA KELELE/ REV. DR. ELIONA KIMARO

😢NILIONYESHWA NA MUNGU LAKINI SIKUJUA 😭 | Prophet Elisha Muliri Afunguka Kuhusu Kifo cha Mke Wake

😢NILIONYESHWA NA MUNGU LAKINI SIKUJUA 😭 | Prophet Elisha Muliri Afunguka Kuhusu Kifo cha Mke Wake

Deep Swahili Worship Mix Vol 1 (2026)- 1 Hour -Unastahili Kuabudiwa/Ombi Langu/Nataka Nimjue Yesu...

Deep Swahili Worship Mix Vol 1 (2026)- 1 Hour -Unastahili Kuabudiwa/Ombi Langu/Nataka Nimjue Yesu...

TAREHE::2_2_2026::BADILISHA MTAZAMO, ACHA WOGA UTAKUFA MASIKINI NI WAKATI WAKO || PR.DAVID MMBAGA.

TAREHE::2_2_2026::BADILISHA MTAZAMO, ACHA WOGA UTAKUFA MASIKINI NI WAKATI WAKO || PR.DAVID MMBAGA.

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA MORNING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING 09/02/2026

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA MORNING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING 09/02/2026

🔴TAARIFA YA HABARI YA USIKU FEBRUARI 10, 2026- VIJANA WABAINIKA KUTAPELIWA TABORA

🔴TAARIFA YA HABARI YA USIKU FEBRUARI 10, 2026- VIJANA WABAINIKA KUTAPELIWA TABORA

1A.NAMNA YA KUPATA UHURU WA KIFEDHA [ FINANCIAL FREEDOM ] KIBIBLIA // MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE:

1A.NAMNA YA KUPATA UHURU WA KIFEDHA [ FINANCIAL FREEDOM ] KIBIBLIA // MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE:

ASKOFU GWAJIMA:KWANINI WATU WA MUNGU WANAONEKANA NI HAWANA MAFANIKIO? LICHA YA AHADI!

ASKOFU GWAJIMA:KWANINI WATU WA MUNGU WANAONEKANA NI HAWANA MAFANIKIO? LICHA YA AHADI!

DAY 03 A | MAMLAKA DHIDI YA MAPEPO | Mwl Benjamin Abel | 11 February, 2026

DAY 03 A | MAMLAKA DHIDI YA MAPEPO | Mwl Benjamin Abel | 11 February, 2026

MAAMUZI JUU YA FEDHA YANAVYOAMUA KUFANIKIWA AU KUTOKUFANIKIWA KWA MALENGO YAKO // MWL C MWAKASEGE.

MAAMUZI JUU YA FEDHA YANAVYOAMUA KUFANIKIWA AU KUTOKUFANIKIWA KWA MALENGO YAKO // MWL C MWAKASEGE.

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]