Ruto: Kwa miaka 15 ijayo Kenya itajiendeleza bila kutegemea mikopo
Автор: Undugu TV
Загружено: 2026-02-19
Просмотров: 4
Описание: Rais william Ruto ameshikilia kuwa taifa la Kenya liko katika mwelekeo mzuri kimaendeleo akiweka wazi kuwa ana imani kuwa kwa takriban miaka 15 ijayo Kenya itaweza kufanikisha miradi ya kimaendeleo bila mikopo kutoka mataifa mengine. Akizungumza wakati wa mkutano wa kitaifa wa wawakilishi wadi, katika ukumbi wa KICC jijini Nairobi, rais Ruto ameorodhesha miradi iliyofanikishwa na serikali yake, akiwakosoa viongozi waliotilia shaka miradi hio akiwataja kuwa watu wenye imani ndogo. James Mwangi na taarifa kamili...
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: