SHAJARA | Watoa huduma saluni, vituo vya masaji washauriwa kupimwa afya
Автор: UTV Tanzania
Загружено: 2026-02-04
Просмотров: 92
Описание: Afisa Afya wa Mkoa wa Dar es Salaam, Richard Shabani amewashauri watoa huduma katika vituo vya masaji pamoja na saluni kuchukua tahadhari za kiafya kwa kujikinga wakati wa kutoa huduma na kupima afya mara kwa mara ili kupunguza hatari ya kuenea kwa magonjwa yanayoweza kusababishwa na mgusano au hewa
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: