Serikali kuongeza Ushirikiano wa Kidiplomasia na Kiuchumi na Falme za Kiarabu
Автор: UTV Tanzania
Загружено: 2026-02-04
Просмотров: 1456
Описание:
Rais Samia Suluhu Hassan ameendelea na ziara yake katika Umoja wa Falme za Kiarabu anakotarajia kushiriki katika mkutano wa World Government Summit wa 2026 na uzinguzi wa Global African Investment Summit.
Ushiriki wa Tanzania katika mkutano huu unaakisi utekelezaji wa Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050 na sera mpya ya mambo ya nje ambazo zimeweka demokrasia ya kiuchumi kama nguzo ya mahusiano kimataifa.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: