ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

MIKOPO "YAVUNJA NDOA"-DIWANI ISEVYA

Автор: Cg Online Tv

Загружено: 2026-01-21

Просмотров: 157

Описание: Diwani wa Kata ya Isevya, Ramadhan Kapela, amezitaka taasisi zote za mikopo zinazofanya shughuli zake katika kata hiyo kuzingatia kikamilifu taratibu za Benki Kuu ya Tanzania (BoT) za kutambua taarifa za mteja kabla ya kutoa mikopo, ili kuepuka kuwakopesha watu wenye madeni katika taasisi nyingine.

Akizungumza katika mkutano na wadau wa mikopo pamoja na viongozi kata hiyo, Kapela amesema kukiukwa kwa taratibu hizo kumesababisha ulimbikizaji wa madeni kwa baadhi ya wakopaji, hali iliyochangia kushindwa kurejesha mikopo kwa wakati na kupelekea hasara kubwa kwao na kwa taasisi zinazowakopesha.

Ameongeza kuwa athari za hali hiyo zimekuwa kubwa kijamii na kiuchumi.
Kwa mujibu wa diwani huyo, baadhi ya wakopaji wamejikuta wakinyang’anywa mali zao na kuvunjika kwa ndoa.

Hata hivyo, watendaji wa taasisi za mikopo wameeleza changamoto wanazokutana nazo katika utekelezaji wa mikopo, wakibainisha kuwa baadhi ya wananchi wasio waaminifu wamekuwa wakiazimana mali kutoka kwa majirani zao ili kuwahadaa maafisa mikopo kuhusu mali wanazodai kuwa ni zao na kuzitumia kama dhamana.

“Unakuta mwanamke ameandika kuwa hana mume, lakini ikifika wakati wa kuchukua mali kutokana na mkopo kushindikana kulipwa, ghafla mume anajitokeza na kuanza malalamiko. Hii inaleta migogoro mikubwa katika familia na kwa taasisi za mikopo,” alisema Kapela. Alisema Elia William afisa mikopo wa taasisi mojawapo.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
MIKOPO "YAVUNJA NDOA"-DIWANI ISEVYA

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

Hiki ndicho kinachowakuta madereva wa malory huko Zambia inasikitisha,simulizi ya dereva MSOMI

Hiki ndicho kinachowakuta madereva wa malory huko Zambia inasikitisha,simulizi ya dereva MSOMI

DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 29.01.2026 | Jioni | Swahili Habari leo | Podcast

DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 29.01.2026 | Jioni | Swahili Habari leo | Podcast

💣 IRAN WAMEMSHINDA TRUMP TAYARI | HATA ISRAEL INATEGEMEA MSAADA WA MAREKANI, NGOMA NI NGUMU

💣 IRAN WAMEMSHINDA TRUMP TAYARI | HATA ISRAEL INATEGEMEA MSAADA WA MAREKANI, NGOMA NI NGUMU

Maajabu! Bibi azuia gari na pikipiki zisiondoke Stendi Arusha, ushirikina watajwa

Maajabu! Bibi azuia gari na pikipiki zisiondoke Stendi Arusha, ushirikina watajwa

MAUAJI NA VITISHO VYAWATISHA WAKAZI WA KATA YA GOWEKO-UYUI TABORA

MAUAJI NA VITISHO VYAWATISHA WAKAZI WA KATA YA GOWEKO-UYUI TABORA

SINTOFAHAMU KARIAKOO: NYUMBA ILIYOVUNJWA, SERIKALI KUCHUNGUZA TUHUMA ZA SAINI FEKI

SINTOFAHAMU KARIAKOO: NYUMBA ILIYOVUNJWA, SERIKALI KUCHUNGUZA TUHUMA ZA SAINI FEKI

Late H.E Benjamin William Mkapa, on Africa's economic and social freedoms

Late H.E Benjamin William Mkapa, on Africa's economic and social freedoms

BODABODA ANUSURIKA KIFO,AFUNGWA KAMBA NA KUTUPWA PORINI KWA SAA 12

BODABODA ANUSURIKA KIFO,AFUNGWA KAMBA NA KUTUPWA PORINI KWA SAA 12

🔴#LIVE: DW Kiswahili Habari za Ulimwengu  | Leo Mchana | Januari 15, 2026

🔴#LIVE: DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Leo Mchana | Januari 15, 2026

VITISHO VIKALI KWA MKEWE KABLA - AMUWA KWA KISU

VITISHO VIKALI KWA MKEWE KABLA - AMUWA KWA KISU

JAMII YA WAFUGAJI MBARALI - MOGELO WAMUANGUKIA MBUNGE BAHATI NDINGO UHABA WA MAJI NA HUDUMA ZA AFYA

JAMII YA WAFUGAJI MBARALI - MOGELO WAMUANGUKIA MBUNGE BAHATI NDINGO UHABA WA MAJI NA HUDUMA ZA AFYA

DC WELLA AWAAGIZA WENYEVITI KULINDA MIUNDIMBINU YA MAJI TABORA

DC WELLA AWAAGIZA WENYEVITI KULINDA MIUNDIMBINU YA MAJI TABORA

Waliyopoteza Miili ya Wapendwa Wao Wazungumza kwa Machungu mbele ya Tume, 'Mwili Umepotea Mpaka Leo'

Waliyopoteza Miili ya Wapendwa Wao Wazungumza kwa Machungu mbele ya Tume, 'Mwili Umepotea Mpaka Leo'

🔴#LIVE: DW Kiswahili Habari za Ulimwengu  | Leo Mchana | Januari 15, 2026

🔴#LIVE: DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Leo Mchana | Januari 15, 2026

Мужчина, которого ударили кулаком в рот, чтобы заставить представителей власти покинуть место про...

Мужчина, которого ударили кулаком в рот, чтобы заставить представителей власти покинуть место про...

SHAMBA LA MFANO KWA WAFUGAJI MZEE SHAMBA KUBWA LONGIDO KISIMA CHA MAARIFA YA MIFUGO

SHAMBA LA MFANO KWA WAFUGAJI MZEE SHAMBA KUBWA LONGIDO KISIMA CHA MAARIFA YA MIFUGO

VIKUNDI 97 VYANUFAIKA NA MIKOPO MANISPAA YA TABORA ZAIDI YA M.900 ZATOLEWA.

VIKUNDI 97 VYANUFAIKA NA MIKOPO MANISPAA YA TABORA ZAIDI YA M.900 ZATOLEWA.

KAMATI YA SIASA  MKOA WA TABORA YARIDHISHWA NA KASI YA MRADI WA MAJI KUTOKA ZIWA VICTORIA

KAMATI YA SIASA MKOA WA TABORA YARIDHISHWA NA KASI YA MRADI WA MAJI KUTOKA ZIWA VICTORIA

KAMCHAPE WAANZA KUSAKWA NA JESHI LA POLISI MWANZA

KAMCHAPE WAANZA KUSAKWA NA JESHI LA POLISI MWANZA

PROCES MAJTCZAKA. NOWA EKSPERTYZA.

PROCES MAJTCZAKA. NOWA EKSPERTYZA. "OSKARŻONY PODWAŻA DOWODY"

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]