Wakaazi wa Kilifi wafurahia kuteuliwa kwa Aisha Jumwa kama Waziri ya Huduma za Umma
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2022-09-28
Просмотров: 45619
Описание: Kaunti ya kilifi imepokea nafasi moja ya uwaziri baada ya aliyekuwa muawaniaji wa kiti cha ugavana Aisha Jumwa kuteuliwa waziri wa huduma za umma katika serikali ya Kenya Kwanza. Baadhi ya wakaazi wa Kilifi wameelezea kuridhishwa kwao na Baraza lililoteuliwa hapo jana. Francis Mtalaki anajiunga nasi kutoka mtwapa.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: