Yanga yapokewa kwa shangwe la mashabiki baada ya kuingia uwanjani
Автор: Azam TV
Загружено: 2025-11-28
Просмотров: 14927
Описание:
KIKOSI CHA YANGA NDANI YA DIMBA: “pitch feeling”
Nyota wa Yanga Afrika baada ya kufika uwanjani kama ulivyo utaratibu wao wakatoka vyumbani na kuingia kwenye eneo la kuchezea “pitch” kwa kuukagua na kuuzoea.
Baada tu ya kuingia Shangwe la mashabiki wa JS Kabylie likaibuka
Mechi saa 1:00 usiku LIVE #AzamSports1HD
#CAFCL #CAFChampionsLeague #LigiYaMabingwaAfrika #YangaSC #Yanga
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: