Shabiki wa Yanga anaitaka sare tu dhidi ya AS FAR, Mashabiki Simba wamtaja Chama
Автор: Azam TV
Загружено: 2026-02-07
Просмотров: 18
Описание:
MASHABIKI YANGA, SIMBA: Shabiki wa Yanga kutoka Mwembe Yanga Dar es Salaam, asema anaitaka sare tu mbele ya AS FAR katika mchezo wa leo wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL).
Mashabiki wa Simba wasema Petreo Atletico wajipange leo, wamtaja Clatous Chota Chama na Libase Gueye kuwa ni wachezaji ambayo wameibadilisha timu hiyo kwenye uchezaji.
Mechi ya Simba ni saa 1:00 usiku LIVE #AzamSports2HD
Mechi ya Yanga ni saa 4:00 usiku LIVE #AzamSports2HD
Mechi ya Azam FC ni saa 1:00 usiku LIVE #AzamSports3HD
Singida BS ni kesho saa 1:00 usku dhidi ya CR Belouizdad LIVE #ZBC2
#CAFCL #CAFCC
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: