"WATU WAWE ROMANTIC NJOO NA WAKE ZAKO IST FESTIVAL"RC CHALAMILA NA SHETTA WAWAITA WANANCHI COCOBEACH
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2026-01-20
Просмотров: 2697
Описание:
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert John Chalamila, akiambatana na Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Nurdin Bilal maarufu Shetta, wametangaza ujio wa IST Festival itakayofanyika Februari 14, 2025 jijini Dar es Salaam.
Akizungumza kuhusu tamasha hilo, Chalamila amesema kuwa IST Festival inalenga kuwakutanisha wananchi katika burudani na shughuli za kijamii, huku zaidi ya shilingi milioni 100 zikitarajiwa kutolewa kama zawadi kwa washiriki mbalimbali.
Kwa upande wa Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Shetta, amesema tamasha hilo litakuwa na burudani nyingi ikiwemo maonyesho ya wasanii wa muziki wa Bongo Fleva pamoja na shughuli nyingine zitakazowavutia wananchi.
Aidha, Shetta ameongeza kuwa katika tamasha hilo kutakuwa na nyama zitakazochomwa na kutolewa bure kwa wageni wote watakaohudhuria na kushiriki tukio hilo, ikiwa ni sehemu ya kuwashukuru wananchi na kuimarisha mshikamano wa kijamii.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: