ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

MABASI YA MWENDOKASI MBAGALA YAWASILI DAR

Автор: Mwananchi Digital

Загружено: 2025-08-07

Просмотров: 13847

Описание: Ajali ya helikopta imetoka jana Jumatano asubuhi katika eneo la Ashanti nchini Ghana na kusababisha vifo vya watu wa0nane huku kati ya hao kuna mawaziri wawili.

Kwa mujibu wa taarifa ya Serikali ya Ghana, watu wote nane waliokuwamo kwenye helkopta hiyo wamefariki dunia huku miongoni mwao ni Waziri wa Ulinzi, Edward Boamah na Waziri wa Mazingira Ibrahim Murtala.

Kituo cha televisheni cha Joy News kilionyesha mkanda wa video iliyorekodiwa na simu kutoka eneo la ajali ikionyesha mabaki ya ndege yakiwaka moto na kufuka moshi katika eneo la msitu mkubwa mapema jana.

WEngine ni Mohammad Limuna, Naibu Mratibu wa Usalama wa Kitaifa na waziri wa zamani wa kilimo, na Samuel Sarpong, makamu mwenyekiti wa chama cha National Democratic Congress (NDC).

katika ajali hiyo, Jeshi la Wananchi wa Ghana liliripoti mapema Jumatano kuwa helikopta ya jeshi la anga ilitoweka kwenye rada muda mfupi baada ya kupaa kutoka Accra saa 3:00 asubuhi kwa saa za Ghana (09:00 GMT), ikielekea mji wa Obuasi, kaskazini-magharibi mwa mji mkuu.

Taarifa hiyo ilieleza kulikuwa na wahudumu watatu na abiria watano ndani ya ndege hiyo.

Ikielezwa zaidi kuhusu Waziri Boamah alikuwa akiongoza wizara ya ulinzi ya Ghana wakati ambapo makundi yenye silaha yamekuwa yakisumbua mipaka ya kaskazini na Burkina Faso. Al Jazeera.

Ingawa Ghana haijakumbwa na waasi kutoka Sahel kama majirani zake Togo na Benin, wachambuzi wameonya juu ya kuongezeka kwa biashara haramu ya silaha na wapiganaji kuvuka mpaka kutoka Burkina Faso na kutumia Ghana kama kambi ya nyuma.

Kufuatia ajali hiyo, Umoja wa Afrika AU, umetuma salamu za rambirambi kwa Rais wa Ghana John Mahama, serikali ya nchi, watu wa Ghana, pamoja na familia za wafiwa, kufuatia ajali hiyo iliyotokea Agosti 6, 2025.

Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika Mahmoud Ali Youssouf, amesikitishwa na ajali hiyo iliyogharimu maisha ya watu wote waliokuwamo.

“Umoja wa Afrika upo pamoja na Ghana katika wakati huu mgumu. Roho za marehemu zipumzike kwa amani," mesema.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
MABASI YA MWENDOKASI MBAGALA YAWASILI DAR

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

MUONEKANO WA JIJI LA DAR ES SALAAM ENEO LA POSTA NA UPANGA

MUONEKANO WA JIJI LA DAR ES SALAAM ENEO LA POSTA NA UPANGA

BILIONI 20 ZALETA MWENDOKASI MPYA 99, SASA MABASI KUFIKA MLOGANZILA

BILIONI 20 ZALETA MWENDOKASI MPYA 99, SASA MABASI KUFIKA MLOGANZILA

MABASI MAPYA YA MWENDOKASI YAANZA KAZI KIMARA - KIVUKONI

MABASI MAPYA YA MWENDOKASI YAANZA KAZI KIMARA - KIVUKONI

Массовый забой скота. Протестам в России быть? Зачем Трампу Иран. Максим Шевченко: Особое мнение

Массовый забой скота. Протестам в России быть? Зачем Трампу Иран. Максим Шевченко: Особое мнение

UTASHANGAA PALIVYO KWENYE KABURI LA MAGUFULI/ MAMIA WAJITOKEZA/ JESCA ATOA NENO

UTASHANGAA PALIVYO KWENYE KABURI LA MAGUFULI/ MAMIA WAJITOKEZA/ JESCA ATOA NENO

MTANZANIA APEWA MKATABA MIAKA 12 KUENDESHA MRADI MWENDOKASI GEREZANI - MBAGALA “MABASI 255, BIL.170+

MTANZANIA APEWA MKATABA MIAKA 12 KUENDESHA MRADI MWENDOKASI GEREZANI - MBAGALA “MABASI 255, BIL.170+

Let's go to Mbagala Dar es Salaam by Bus Rapid Transit (BRT) Bus!

Let's go to Mbagala Dar es Salaam by Bus Rapid Transit (BRT) Bus!

MABASI MAPYA 932 ya MWENDOKASI KUINGIA DAR KUANZA KAZI - DART WATOA ONYO HILI KALI....

MABASI MAPYA 932 ya MWENDOKASI KUINGIA DAR KUANZA KAZI - DART WATOA ONYO HILI KALI....

MAJALIWA ATETA NA WANANCHI MBAGALA BRT-2

MAJALIWA ATETA NA WANANCHI MBAGALA BRT-2

AJALI YA MWENDOKASI YAUA DEREVA BODABODA, RC CHALAMILA AWAKA

AJALI YA MWENDOKASI YAUA DEREVA BODABODA, RC CHALAMILA AWAKA "MARUFUKU KUPITA BARABARA YA MWENDOKASI

SINZA Dar es salaam/  Tanzania  DRONE SHOTS

SINZA Dar es salaam/ Tanzania DRONE SHOTS

RUTI YA MWENDO KASI MBAGALA YAANZA RASMI.... NATAKA USAFIRI SAA 24  RC CHALAMILA...

RUTI YA MWENDO KASI MBAGALA YAANZA RASMI.... NATAKA USAFIRI SAA 24 RC CHALAMILA...

Убунго становится новым деловым районом Дар-эс-Салама в Танзании, посмотрите это

Убунго становится новым деловым районом Дар-эс-Салама в Танзании, посмотрите это

mabasi yakitoka kwa mbwe mbwe  stendi ya magufuli asubui yaleo

mabasi yakitoka kwa mbwe mbwe stendi ya magufuli asubui yaleo

UTASHANGAZWA NA UFISADI ULIOFANYWA KWENYE MABASI YA MWENDOKASI, CHANZO CHA MABASI KURIBIKA,

UTASHANGAZWA NA UFISADI ULIOFANYWA KWENYE MABASI YA MWENDOKASI, CHANZO CHA MABASI KURIBIKA,

Жесть! ПЕРЕКРЫТ ЕЩЕ ОДИН пролив на Ближнем Востоке: цены взлетят еще выше! - Печий

Жесть! ПЕРЕКРЫТ ЕЩЕ ОДИН пролив на Ближнем Востоке: цены взлетят еще выше! - Печий

Updates!  Phase 4 of Bus Rapid Transit (BRT) from CBD to Tegeta Dar es salaam Tanzania

Updates! Phase 4 of Bus Rapid Transit (BRT) from CBD to Tegeta Dar es salaam Tanzania

I visited a big town near Dar es Salaam Tanzania 🇹🇿 . This is Morogoro 2025

I visited a big town near Dar es Salaam Tanzania 🇹🇿 . This is Morogoro 2025

Иран СДЕЛАЛ Невероятное этой Ночью

Иран СДЕЛАЛ Невероятное этой Ночью

Если ИРАН РУХНЕТ — Армения исчезнет? Тайный сценарий, о котором МОЛЧАТ политики…

Если ИРАН РУХНЕТ — Армения исчезнет? Тайный сценарий, о котором МОЛЧАТ политики…

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]