MAJALIWA ATETA NA WANANCHI MBAGALA BRT-2
Автор: Daily News Digital
Загружено: 2025-08-13
Просмотров: 16663
Описание:
DAR ES SALAAM: WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewaagiza waendeshaji wa awamu ya pili ya mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (BRT-2) kuhakikisha wanafanya kazi usiku na mchana ili kukamilisha maeneo yaliyobaki yatakayowezesha mradi huo kuanza kutoa huduma ndani ya muda mfupi.
Majaliwa ameyasema hayo Agosti 13, 2025 wakati akikagua mabasi mapya kwa ajili ya awamu ya pili -2) pamoja na miundombinu, ikiwemo kituo kikuu cha mabasi hayo cha Mbagala Rangi tatu, na kituo cha gerezani, jijini Dar es Salaam.
Kadhalika Majaliwa amemwagiza Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya utoaji huduma ya Usafiri ya Mofat, Mohammad Kassim kuhakikisha anakamilisha haraka taratibu za utoaji wa mabasi 99, yaliyopo bandarini ili kuwezesha huduma hiyo kuanza kwa wakati.
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig...
SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid...
TWITTER;
Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: