UTAPENDA MAISHA YA MBUNGE FESTO SANGA NA WANANCHI WAKE JIMBONI MAKETE
Автор: Bongo5
Загружено: 2020-12-21
Просмотров: 4446
Описание:
Mbunge wa Jimbo la Makete Mh Festo Sanga akifurahia stori za rafiki yake Sarah Mageni Kikwete (Mlemavu wa Miguu) Kijiji cha Lupalilo.
Kwa upande mwingine wazazi wameiwaita watoto wao kurudi Makete katika kutakiana Heri ya sikukuu ya Krismas na mwaka mpya.
Wazazi wamewaomba watoto wao wanaoishi nje ya Makete kurudi nyumbani na kushiriki Mkutano Mkuu wa M.D.A. huku wakiipongeza Serikali kwa Ujenzi wa Lami kutoka Njombe - Makete. "Nampongeza Mbunge Mh. Festo Sanga, tumemwamini na tunamuombea uzima na Afya ili aisogeze mbele Makete katika Maendeleo".
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: