Pongezi Zangu Kwa Mhe. Festo Sanga Mbunge wa Makete | Rev. Dr. Eliona Kimaro
Автор: Rev. Dr. Eliona Kimaro
Загружено: 2024-07-01
Просмотров: 2091
Описание:
Mchungaji Dr. Eliona Kimaro akimpongeza Mbunge wa Maketa Mhe. Festo Sanga kwa kazi nzuri jimboni mwake, pia ametoa pongezi kwa Mhe. Rais Dr. Samia Suluhu kwa kukubali kundoa kodi iliyopendekezwa kwenye gesi.
Sehemu hii ya video imechukuliwa katika Ibada ya Jumapili, 30 Jun 2024. Ibada iliyokuwa na kichwa cha somo NINYI NI BARUA YA KRISTO
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: