MAMBO 3 RAHISI YA KUMVUTA MUNGU KARIBU!
Автор: DaudiEM
Загружено: 2025-05-15
Просмотров: 1706
Описание:
Ukifanya mambo haya 3 na kuacha mambo haya 3 utaweza kuwa karibu na Mungu na kutembea naye siku zote za maisha yako.
Kitabua cha Ufunuo 2, kinaelezea ujumbe wa YESU kupitia mafunuo ya Yohana kuelekea makanisa. Ujumbe ambao hata sisi unatuhusu. Mkristo wa leo akiishi kweli ya Kristo tunayojifunza kwenye video hii hakika maisha yake hayatakuwa kama yalivyokuwa.
Mambo asiyopenda Mungu
Kupoa, Kupotoka na Ibada za sanamu
Mambo anayopenda Mungu
Msimamo thabiti wa kiimani, uvumilivu na Subira na Kukua.
🎉SUBSCRIBE 🎉kupata Neno la Mungu kila wakati.
Jumbe kuhusu Imani, Tumaini, Upendo wa Mungu, Mafanikio, Furaha, Utoshelevu wa Kweli, Faraja, Roho Mtakatifu, Yesu, Huduma nakadhalika.
#dontgiveup #DaudiEM #godisfaithful
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: