Jinsi ya kuachilia Mambo ya Zamani na kuishi kwa Ushindi!
Автор: DaudiEM
Загружено: 2025-07-08
Просмотров: 634
Описание:
Maumivu ya kihisia kutoka kwa historia ya maisha yanaweza kuwa mazito kuliko ya kimwili. Je, umewahi kuumizwa na bado unabeba majeraha moyoni? Katika video hii ya kipekee kutoka DaudiEM, utajifunza:
• Maana ya maumivu ya kihisia
• Athari zake kwa maisha na imani
• Hatua 5 za kupona kihisia na kiroho
• Ushuhuda wa kweli wa mtu aliyepitia na kushinda
Tazama hadi mwisho kwa maombi ya kuachilia na kupona.
👇
Subscribe, Share, na Comment – kwa ajili yako na kwa ajili ya wengine!
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: